iqna

IQNA

jamhuri ya kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo Jumatatu ameonana na wananchi wa mikoa miwili ya "Sistan na Baluchistan" na ule wa "Khorasan Kusini" na kusisitiza kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesimama imara na kwa nia isiyotetereka katika kukakbiliana na adui.
Habari ID: 3477583    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/11

Mtazamo
Siku kama ya leo miaka 34 iliyopita, sawa na tarehe 14 Khordad mwaka 1368 kwa mujibu wa kalenda ya Hijria Shamsia sawa na mwezi Juni 1989, Imam Ruhullah Musawi Khomeini (MA) mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliaga dunia akiwa na umri wa miaka 87. Ulimwengu wa Kiislamu uligubikwa na majonzi na huzuni kubwa kuutokana na kutangazwa kifo cha Imam.
Habari ID: 3477098    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/04

Njama dhidi ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikwazo vipya vilivyotangazwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia 29 na taasisi tatu za Kiirani, ikiwemo kanali ya televisheni ya Press TV.
Habari ID: 3476094    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/15

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Leo Alkhamisi tarehe 25 Safar 1444 Hijria sawa na 22 Septemba 2022 inayosadifiana na 31 Shahrivar 1431 Hijria Shamsiya inaadhimishwa kama kama mwanzo wa 'Wiki ya Kujihami Kutakatifu'
Habari ID: 3475825    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/22

Spika wa Bunge la Iran katika Kongamano la Kimataifa la Wanaharakati wa Umahdi
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Bunge la Iran amesema chimbuko la Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni fikra za Imam Mahdi, Mwenyezi Mungu Aharikishe Kudhihiri Kwake, na Ashura.
Habari ID: 3475346    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/07

TEHRAN (IQNA)- Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa serikali yake inataka kuondolewa vikwazo haramu vilivyowekwa na madola ya kibeberu dhidi ya Iran lakini suala hilo halitafungamanishwa na matakwa ya madola ajinabi.
Habari ID: 3474155    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa la Iran leo na mustakabali wa mbali linapaswa kulinda kumbukumbu ya Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu.
Habari ID: 3473979    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/04

TEHRAN (IQNA) - Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetaja majina ya wagombea wa urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao wa Juni humu nchini.
Habari ID: 3473945    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/25

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: wakati Marekani inajiingiza kila mahali kwa kuzusha fitna na kuleta ufisadi, kila mara inatilia shaka kuwepo na kujishughulisha Iran na masuala ya eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3471422    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/09

Kwa munasaba wa kuanza Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwepo wa dini na madhehebu mbali mbali hapa nchini umesaidia kuimarisha umoja na mshikamano wa kitaifa.
Habari ID: 3470737    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, msikiti unapaswa kuwa kituo cha kumjenga mwanadamu kukabiliana na adui, kuujenga moyo kimaanawi na kidunia, kuongeza muono na kuandaa mazingira kwa ajili ya kuleta ustaarabu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470535    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/21

Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuimarishwa uhusiano wa nchi hii na Afrika Kusini katika setka mbali mbali.
Habari ID: 3470268    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/24

Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Gambia imesema itaheshimu haki za raia na wakaazi wote nchini humo wakiwemo Wakristo na wengine.
Habari ID: 3470210    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/22